iqna

IQNA

sheikh shaaban al jundi
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na Kwake Yeye tutarejea"
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Shaaban al Jundi, qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka mkoa wa Beni Suef nchini Misri ameaga dunia hivi karibuni baada ya kuadhini katika moja ya misikiti ya mkoa huo.
Habari ID: 3471312    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/17